Job 7:14-17


14 andipo wanitisha kwa ndoto
na kunitia hofu kwa maono,

15 bhivyo ninachagua kujinyonga na kufa,
kuliko huu mwili wangu.

16 cNinayachukia maisha yangu; nisingetamani kuendelea kuishi.
Niache; siku zangu ni ubatili.


17 d“Mwanadamu ni kitu gani hata umjali kiasi hiki,
kwamba unamtia sana maanani,
Copyright information for SwhKC